Selfika na JF: Snap it. Show it

Ushindwee kwa jina la Yesu
Tunapendana ile mbaya

Simuachi by jux

Nina kila sababu ya kuwa na yeye
Kwake kichanga nabembelezwa na yeye
Kwake ustaarabu, nini nipewe (eeh)
Maana muda mrefu nimekuwa mwenyewe
Waoo Hongera sana mwaka huu hauishi unaolewa boss na shem alivyo dark tall gentleman mwenye yard zake mbezi nzima mwambie shem anitumie vocha ya halotel bsi

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Amen I receive IJN
Be blessed ila na wewe uoe bhana
Hahha sio kwa kumsifia hivyo

Sasa maduka yapo mbali huku .. aataendaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…