Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,569
- 235,410
LFC[emoji3590]Ligi ianze tu huyu mtoto kashaanza kunenepa ndyo maana mmeuziwa mbuzi kwenye gunia [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2298973
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Movie za Zaman huko itv na za kanumba (R.i.p) baadhiDah!..Huyu mama nimemuona kwenye movie gani sijui Ike[emoji3064]
I'm shocked View attachment 2298995
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nikifika Gairo huwa nahesabu tayari nipo dom.. hicho kipande hakina trafic hadi unaingia dodoma zaidi ya pale kwenye kizuio 😁😁 hapa kuna barid kali mashuka blanket kama yamelokwa kwenye majiHiki kipande kipo Moro au Dom maana sio poa kutoka gairo kuitafuta Moro au Dom
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
You got stakes hun[emoji12][emoji12][emoji12]
Yummy 😋Karibuni cake 🎂 View attachment 2299019
Mkuu labda kama ulipita siku ya nyota yako.Nikifika Gairo huwa nahesabu tayari nipo dom.. hicho kipande hakina trafic hadi unaingia dodoma zaidi ya pale kwenye kizuio [emoji16][emoji16] hapa kuna barid kali mashuka blanket kama yamelokwa kwenye maji
Vertical elevated kind of life, enjoy[emoji39][emoji39][emoji39]Late Lunch
Wewe ni davoo wa Kimbinyiko ama 🤣 sio kwa kukariri hivyoMkuu labda kama ulipita siku ya nyota yako.
Gairo - pandambili hakuna askari
Pandambili - kibaigwa utawakuta askari kibaigwa
Kibaigwa - Narco utawakuta askari Mtanana au pale juu ukishanyanyuka kilima cha kutokea njia panda ya Narco
Narco-mbande utawakuta pale getini, check point
Mbande - chamwino, utawakuta chinangali II au sehemu za karibu, huwa wanahama
Chamwino - Mjini utawakuta jirani na mtumba, sehemu moja inaitwa kikombo.
Baada ya hapo ni wale wa ihumwa ambao mara nyingi hawana madhara.
NB: Kuna siku nzuri, unapata askari kwenye point moja tuu out of zote hizo. Ila all in all hizo ndio point huwa wanakaa. Ila hapo tochi huwa ni point moja tuu, hawa wengine ni kuovertake kwenye mstari, ukaguzi au aamue tu kukuvizia kwa machale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni davoo wa Kimbinyiko ama [emoji1787] sio kwa kukariri hivyo
Jana tu walirusha movie aliyocheza.Movie za Zaman huko itv na za kanumba (R.i.p) baadhi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Lol[emoji3059]Karibuni cake [emoji512] View attachment 2299019
Jirani umebeba blanketi au nikuletee fasta; sitaki uncle upate tabu. Sipati picha baridi la huko
Umeona stake tu[emoji16]You got stakes hun[emoji12][emoji12][emoji12]
Njoo ule 🙂