Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakika Nuzulati ni zaidi ya mke, ni zaidi ya mama, ni zaidi ya mwanamke. Baraka ya Mungu, hofu ya Mungu ni sehemu ya maisha yake. Moyo wake umemuelekea Mungu, na mie nimepewa yeye kuwa zawadi 😁😁
Sioni Maisha yangu bila wewe baba kijacho wangu,Umenifundisha kuona mapenzi ya kweli yalivyo,Umenifanya najiamini zaidi,Umeniletea furaha zaidi bila kusahau umenipa nguvu katika vingi😍🙏🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…