Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Sawa sawaNichek jmos twende igingilanyi tukale nyama choma ya mbuzi mnadani Ni nduli kuleeee
Sawa sawaNichek jmos twende igingilanyi tukale nyama choma ya mbuzi mnadani Ni nduli kuleeee
Acha dhambi bhasmkeo anafaidi
waga una vijineno flani hivi![]()
Kwamba ndo gia yako nisipelekwe viwanja
Shetty na akulambe uso

Sawa naacha uchokoziNipo nae hapa Doma
Acha ukorofi
Nitakuvimbisha huko south sudan
Shauri yako
nisije ingilia mawimbi hapaUngekuwa upo songea ijumaa ungesogea mbinga,Kutafuna NY am a.
Ujumbe mzuri ila iyo salute tunaomba irudiwe😀
Safi kabisa hakuna kuficha fichaHello!!,
Alaf sijawahi ona selfie Yako weka hta ilo bega basiSawa naacha uchokozinisije ingilia mawimbi hapa
You are missed!!😍
Nimempeleka dubey kwaajili ya kupata joto!
Twende na wewe moja!!Safi kabisa hakuna kuficha ficha
Mkuu nimemmiss em mwambia asisahau kutubless😹😹😹😹😹Nimempeleka dubey kwaajili ya kupata joto!
😂Vitu vyenyew hta hawana 🚶
Nimtuma sasahiv labda hukuwepoTwende na wewe moja!!
Yupo hapa anaona kinachoendelea akirudi selfies kama zote ila anawasilimia sana!Mkuu nimemmiss em mwambia asisahau kutubless😹😹😹😹😹
💋💋Yupo hapa anaona kinachoendelea akirudi selfies kama zote ila anawasilimia sana!
Mie anaponikosha ni ule uhalisia wake tu selfii zake nyingi hukuti za screenshot wala Snapchat... such a beautiful lady in deed na anafurahi na kila mtu!Mkuu nimemmiss em mwambia asisahau kutubless😹😹😹😹😹
Fanya wepesi ya mwisho, mkuuNimtuma sasahiv labda hukuwepo