Eti ana taka tena
Ya nini ya ninii
Ye ananitaka tena
Wa nini wa nini mieeee
Sirudiagi matapishi
Kacheze unakochezaga
Sipashagi makabichiii
Kacheezeee
Aah na nikiona sura yako najionea kasheshe
Aah kata simu tuko site niondolee kasheshe
Chonde chonde
Hala hala dear ex
Aaaaaah dear ex
Hala hala dear ex
Sipashagi makabichi no
No no no no no no no no no