Huko kwenye miguu ndiyo balaa Aisee, Google siwezi kuipata huku kijijini hakuna google, halafu miguu Baja uweke humu Aisee unataka ni ikimbie id yangu mwenyewe nini
Kuna aina ya watu dunia hatuna chochote ndiyo sisi, miguu mibaya, sura mbaya, simu mbaya, kila kitu kibaya lakini Fresh Tu
Ungepost ya hivi hata wasingejisumbua kulike wala kugoogle. Wangeamini ni wewe na wangefunga kurasa kwa kusema jf wadada ni wabaya.View attachment 1218847