Selfika na JF: Snap it. Show it

@Mac Alpho tajir wa roho mwenye unyenyekevu msikivu boss mwenye meli zake mtaalamu wa kubet Tanzania
Fanya mpango wa vocha basi boss pekee mwenye yard zake Afrika mashariki boss Mac Alpho

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Daaaah nilikuwa najiuliza sana ile ID imeenda wapi? Hii comment imenichekesha sana aiseeh, yani hadi yard Afrika Mashariki umenipa (nizitoe wapi mimi)

Kwema mkuu?πŸ˜„

Nitapata wapi dawa ya kuacha kubeti, huo ndo ugomvi wangu na mtoto wa watu.
 
Daaaah nilikuwa najiuliza sana ile ID imeenda wapi? Hii comment imenichekesha sana aiseeh, yani hadi yard Afrika Mashariki umenipa (nizitoe wapi mimi)

Kwema mkuu?

Nitapata wapi dawa ya kuacha kubeti, huo ndo ugomvi wangu na mtoto wa watu.
Kwema boss umeamdimika sana Tajiri wangu

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…