Nenda mazoezi ya kwaya
Utakutana na mwalimu hapo akupange vyema
Kuimba ni kipawa .. sijui kuimba vizuri ila siwezi acha kumuimbia aliyeumba mbingu na nchi
Mwalimu wangu wa upuuzi uzuri upo hapa unafanya supervision ya mwanafunzi wako ππππππ.. Fanya namba basi au nije maji yatagana au wewe badoo kuoga