Sis nimefurahi kukuona tenaHaya leta mastory nkamu
That's good to hear!!Anaendelea vzur leo naona hata ananichekea nmepiga nae stry... Watamruhusu hivi karibuni inshallah
SawA babe ngoja nitupieHelloowww mamy!!
Mida ya Nakedd nilikua Nasubiria nkuone ndio nirare!!
Here waiting sweetheart!!๐๐SawA babe ngoja nitupie
Niitie mtoto wa shangaz akujecocastic Babylov wherayuuuu??? Unaitwa hukuuu
Eeh mambo ya kupasi alfajiri hapanaUna mchezo kama wangu ๐คฃ me naweza pasi za week nzima kama mood iko ON..
Wanaweza rudisha wa manane,, ila in case of anything, nishaandaa akilini kigauni flani ๐
Me too lil sis, japo nimeambulia tu sifa za picha yako "mzungu" wetuSis nimefurahi kukuona tena
Kumbe bado upo nkamuHaya leta mastory nkamu
Ni kipengeleโฆEeh mambo ya kupasi alfajiri hapana
Hahaa good... Af kesho uwe live mapema kutupa burudani siku ianze poa๐
Viclip viwili ushajikuta star sio ๐๐Ni kipengeleโฆ
๐คฃ๐คฃ msinizoee
So natural....Hyo apo loveView attachment 2294626
๐คฃ๐คฃ๐คฃ jamaniMwanao @Depal amekua mtundu anavaa vikaptula vya kuchanika vimembanaaa alafu kama @T 1990 ELY anampenda hivi.....
SawA babe asante piaSo natural....
African Biuriiiiiiii[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sasa naweza kulala vizuri babe thank youuuuu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji3531][emoji3531]
Tulia nimpe maelezo ya kutosha mama malezi uwache ukorofi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ jamani
Nkamu kwani huwa unamwagilia moyo?๐๐๐Kumbe bado upo nkamu
Haya naanza sasa mama mchungaji
Mambo ni mengi muda ni mchache
Ulipokua rikizo kuna mambo yametokea
Kwanza mwanai Saint Anne amemleta junia ni kazuri ila kamemsumbua kidogo kwenye malezi hata huku jukwaani anaingia kwa kubip........
Binti yako cocastic alikua na mitihani amemaliza salama na sasa yupo rikizo anakula maisha na lectuler wake Jack Palladino mambo ni bam bam
Mwanao Depal amekua mtundu anavaa vikaptula vya kuchanika vimembanaaa alafu kama T 1990 ELY anampenda hivi.....
Mama mchungaji mimi pia ninepata mchumba anaitwa Alayna nasubiri barakazako tu mama mchungaji ili nipeleke posa....
Mama malezi mambo ni mengi mengi ngoja ninywe maji kwanza nitaendelea .....
Nkamu sijawahi wala simwagilii moyoNkamu kwani huwa unamwagilia moyo?๐๐๐
Aisee umeopoa bonge la pisi; full utu na Utulivu. Yaani you have all my blessings na ukweni nakusindikiza.
Depal ni binti Zumaridi๐๐๐
Mama junia Saint Anne nimetoka kwake jana.
Mwanafunzi cocastic nishampa salamu zake.
[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]kwa umbea shikamooooKumbe bado upo nkamu
Haya naanza sasa mama mchungaji
Mambo ni mengi muda ni mchache
Ulipokua rikizo kuna mambo yametokea
Kwanza mwanai Saint Anne amemleta junia ni kazuri ila kamemsumbua kidogo kwenye malezi hata huku jukwaani anaingia kwa kubip........
Binti yako cocastic alikua na mitihani amemaliza salama na sasa yupo rikizo anakula maisha na lectuler wake Jack Palladino mambo ni bam bam
Mwanao Depal amekua mtundu anavaa vikaptula vya kuchanika vimembanaaa alafu kama T 1990 ELY anampenda hivi.....
Mama mchungaji mimi pia ninepata mchumba anaitwa Alayna nasubiri barakazako tu mama mchungaji ili nipeleke posa....
Mama malezi mambo ni mengi mengi ngoja ninywe maji kwanza nitaendelea .....
kwakuwa nilikumiss nitairudiaMe too lil sis, japo nimeambulia tu sifa za picha yako "mzungu" wetu
Biurifooo๐kwakuwa nilikumiss nitairudia