Forever and always!βοΈβοΈβοΈKwema kabisa Carrasco putin humu ndani tumeamshwa na Antonnia na Lovelovie. Bado wengine wamelala akina cocastic na wengine wako church akina Saint Anne na wengine ndio wanatoka bar muda huu akina.............,,,,,, Wameshajijua! π€£
Weee shost hadi utumbo umelipukaaaa kwa shangweeMorning sweetbaby!![emoji3531][emoji3531][emoji8]
Nimalizie kazi moja hapa nikukwangulie vocha zako kipenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikesha jana na ndoa ya nandy.Kwema kabisa Carrasco putin humu ndani tumeamshwa na Antonnia na Lovelovie. Bado wengine wamelala akina cocastic na wengine wako church akina Saint Anne na wengine ndio wanatoka bar muda huu akina.............,,,,,, Wameshajijua! [emoji1787]
π€£π€£π€£π€£ππππ!Weee shost hadi utumbo umelipukaaaa kwa shangwee
kule kule mamaa, wa kunihonga sina, hata wa kunipa vocha nikose? Nimekosa nn miee?
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Boss lady usiye na roho ya choyo haya sasa Carrasco putin kaa karibu na Antonnia nimeona vocha za 20kMorning sweetbaby!!β₯οΈβ₯οΈπ
Nimalizie kazi moja hapa nikukwangulie vocha zako kipenzi
Hapo sasa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Usiwaze shos angu wewe teinaaaaaaaaaa!! Selfii umepata Sema kingine [emoji8][emoji8][emoji8]
Anything for my sweetheart cocasticJaman jaman Leo kweli Kuna mibaraka vocha Kama zote
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Lenie ameomba nikusindikize kwa niaba yake
Nami niko kodo hapa π³π³ nasubiria mibaraka tele yaselfii toka kwa Mr vochaaUsibanduke hapa napita full leo bila emoj wala kukata
Nishindwee mie tyuuh. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]!
Usiwaze shos angu Shos kubwa nipo hapa nitakugea hata za chips tai mishkaki shos angu!!
Nipo hapaaaah sitokiiiiUsibanduke hapa napita full leo bila emoj wala kukata
You are the best ππππNishindwee mie tyuuh. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mjep wee unae rafiki wa kweli km miee???? Hebu nambie.
Ulikuwa unapita kimya kimya π€Nipo sana tu. Wewe tu ndio sijakuonasiku nyingi. π