Huyu alikua mshenga/mpambe/mmwaga sera, sera zake hazikueleweka nikamiminwaaaaaa, nikamwagwaaaaaa nikagaragazwaaaaaaaaaa, nikatemwaaaaaaaa na mrembo mwenye umbo tata madam mkemia boss lady Antonnia πππ
Madam hapa natafuta mwanasheria nikukabidhi kibanda changu cha mpesa na vocha sitaki utani, hivi humu ndani hakuna mwanasheria?? Christine1 atathibitisha huko mahakamani