Selfika na JF: Snap it. Show it

Madam boss lady hanitaki amegoma kama kata ebu ngoja nipige jaramba hapa nione single lady mwingine atakayejitokeza
Hahahhahhahhahhaaa..humu siwawezi mr Vocha !! Acha tu nipambane nahali yangu mie usinitafutie mabalaa humu
!!
Kila lenye kheri katika kutafuta kimwali mr Vocha Halahala tu ukipata asije kukufanya ukatusahau na Vocha wana selfika !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…