Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaaa Dogo unanifurahishaga sana komenti zako ujue yani Nimecheka kama chizi πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Hahahaaa Dogo unanifurahishaga sana komenti zako ujue yani Nimecheka kama chizi [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089] mm siyo dogo

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Mamaa mwenye Shepu yake Og mamaa asie na makuu Tonnia sijamuona Kitambo sana!! Aliemficha aturudishie mahoo wetu nyie viumbe!!
Nipo mdogo wangu tumajukumu tu ndio tunanibana kidogo...
Weee mie humu siwawezi mdogo wangu nishasalute kitambo sana humu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!
 
Nipo mdogo wangu tumajukumu tu ndio tunanibana kidogo...
Weee mie humu siwawezi mdogo wangu nishasalute kitambo sana humu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!!
Usiwafanyie hivo dada yule nguruwe mmoja akasababisha wenzie wenye mapenzi mema naweye wasile mema ya muumba jamani!! Angalia angalia kuna waliotulia dyadya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…