Hapana mkuu π€£Wewe ukiamuaga chizi sanaπ
Okay karibuNi sawa tu
Akili yako unaijua mwenyeweπππHapana mkuu π€£
Asante sanaOkay karibu
Ujue bado nakudai kontakti anko,nimekaa huko mpweke ajabu, nimerudi utadhani nilikuwa Somalia!!Jirani anapaswa akapumzike.. tokea asubuhi yuko hapa
Hujaganda tu na baridi?Nimejifunika blanket nahisi joto, nikijifunua baridi ππ
Dah
Nimegandaaaa π€£π€£π€£Hujaganda tu na baridi?
π€£π€£π€£ nitakutafutia gwanda likusaidieNimegandaaaa π€£π€£π€£
Nimekuwa ngaaa kama afande
Jiji kubwa hivi unakaaje kipweke? π uzembe huo anko..Ujue bado nakudai kontakti anko,nimekaa huko mpweke ajabu, nimerudi utadhani nilikuwa Somalia!!
ππππππββοΈπββοΈ nataka O mieπ€£π€£π€£ nitakutafutia gwanda likusaidie
π€£π€£π€£ emu ukoππππππββοΈπββοΈ nataka O mie
Sijambo jirani, wewe je..Jirani myoyambendi nakusalimia
Aisee..ππππππββοΈπββοΈ nataka O mie
Emu kalale π€£π€£π€£π€£ emu uko
Nami niko poa jirani, siku imeisha salamaSijambo jirani, wewe je..
Imekuwaje tena?Aisee..
Hivi usiku ushaingia kumbeπEmu kalale π€£
Salama imeisha...karibu karanga na maziwa jirani..Nami niko poa jirani, siku imeisha salama