Weh usiniambie hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani ww huwa unapendeza sana tu nikionaga picha ako siku yangu inakua poa sana hata kulala nalala vizur yani
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mbona paji lako la uso linaonyesha umekubuhu πMe Mtakatifu, Mie bikra wa kiume sijui mathusi, nipo under 26
Siha hukuNipe location jirani nitembelee...
He...jirani umeliona vizuri?Mbona paji lako la uso linaonyesha umekubuhu π
Nimeliona vizuri jirani ππHe...jirani umeliona vizuri?
Hongera jirani..Nimeliona vizuri jirani ππ
Hapana uko vizur sana shemWeh usiniambie hahaha
Mie naonaga za kawaida sana
Ngoja nitafute sweta kwanza maana baridi kaliMe Mtakatifu, Mie bikra wa kiume sijui mathusi, nipo under 26
Na jua kali lote hiliNgoja nitafute sweta kwanza maana baridi kali
Jua la wapi kwanza unaongelea?πNa jua kali lote hili
La jua.. nimechungulia nje naona jua kali πJua la wapi kwanza unaongelea?π
Kwani umerudia tena kuvuta msuba shoga angu?ππLa jua.. nimechungulia nje naona jua kali π
Kwa mrefuππJua la wapi kwanza unaongelea?π
Kwani we uko wapi? ππ me mbona nimeangalia nje naona jua kali kinomaKwani umerudia tena kuvuta msuba shoga angu?ππ
Asante sana Shem ake [emoji3590]
Duh....Kwani we uko wapi? ππ me mbona nimeangalia nje naona jua kali kinoma
Dudu..Duh....
Me nipo kwa wamasai huku, baridi kama lote.Kwani we uko wapi? ππ me mbona nimeangalia nje naona jua kali kinoma
Duduuu...huogopi dudu mendeDudu..
πππ tuliaaaaMe nipo kwa wamasai huku, baridi kama lote.
Itakua uko ndotoni, em amkaπ