Good morning boss ladyNaona Wengine Bado wamerara mr Vocha good morning β!!
Ile ya jana ilipaswa iwe hivi madam
Jamanii!!π€π€π€Boss lady njoja tuchakarike kwanza, badae natupia humu.
πGood morning boss lady
Hehehe haloooo π€£π€£ππGood morning...View attachment 2281468
Mkuu umenipa sifa za mama mchungajiπSijaona. Labda umefuta chap...
Haya nipo sasa. Hebu weka hata kwa 5 seconds kama Mr. Vocha ndo uende job
Huo ndo muda huwa tunakula dinner π3:18 π
Ni uwa hamshibi dinner au
Chakula mi mida hii inakuwaga tamu sana. Haihitaji kupasha.3:18 π
Ni uwa hamshibi dinner au
Kaa hapa usibandukeπ
Nawewe hutubariki asubuhi asubuhi Mr vocha???π€π€π€π€ππ
Hii siku imeanza vibaya walai!!π
ππππ kwahiyo mnakula cha baridi??Chakula mi mida hii inakuwaga tamu sana. Haihitaji kupasha.
Eeeh ππ nikiwa mkubwa na mimi nitajaribu kulq dinner saa 9 usiku nioneka kama inakuwaga tamu ππ€£ππ€πHuo ndo muda huwa tunakula dinner π
Yani hamna kupasha, kitapatia moto ndani ππππππ kwahiyo mnakula cha baridi??
Umeanza kunywa miti shamba dogoHibiscus tea πΊ View attachment 2281465
Muulize Lenie akwambie inavyokuaga tamuEeeh ππ nikiwa mkubwa na mimi nitajaribu kulq dinner saa 9 usiku nioneka kama inakuwaga tamu ππ€£ππ€π
ππππ sasa kutakuwa hamna kukabwa kweli? Maana koo laweza kuwa dry π€Yani hamna kupasha, kitapatia moto ndani ππ
Baada ya kuacha πΊUmeanza kunywa miti shamba dogo