Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
π₯π₯π₯π₯ndio, zinasaidia mwingine kuelewa ulichofanya au unachofanya. Comments muhimu sana
mnatudisturb banandio, zinasaidia mwingine kuelewa ulichofanya au unachofanya. Comments muhimu sana
KheeeSasa mwanaume ndio natoka kitandani, niende bafuni, niogeshwe na maji.. nicheki number za simu nani afaaa kuwa chakula ππππ
mbona wewe na simu za saa 10 alfajiri huwa zinanisumbua.. hivi huwa ni mlinzi au meneja wa bar ππππ alafu usiwe unanipigia huku umelewa.. maana unayo ongea nikikukumbusha unaweza sema sio wewemnatudisturb bana
Una tutamani utu onje eehKheee
Wanaume wa Dar mna vioja
Siwatamani hataUna tutamani utu onje eeh
ππππ.. Unatamani wa wapiSiwatamani hata
Halafu Nations haka katoto huwa kanajitoa ufahamu tu, nimeshakaambia nina ng'ombe zangu niuze nikatolee mahari, kanaruka ruka tu, nishaimba saaana, hebu nisaidie.Siwatamani hata
πππ Depal unakwama wapi.. upendweje we katoto .. ila usichoke.. katoto kanahitaji kukulewa, haka hakahitaji mpenzi.. ila kanahitaji mlezi.. ukikaweka kwenye himaya uta enjoy sanaaHalafu Nations haka katoto huwa kanajitoa ufahamu tu, nimeshakaambia nina ng'ombe zangu niuze nikatolee mahari, kanaruka ruka tu, nishaimba saaana, hebu nisaidie.
Ngoja niendelee kukomaa tu, one day kanaweza kubadili mawazo, yani mie hata lile shamba la urithi ni radhi kuliuza, mie nipo tayari niwe mlezi.πππ Depal unakwama wapi.. upendweje we katoto .. ila usichoke.. katoto kanahitaji kukulewa, haka hakahitaji mpenzi.. ila kanahitaji mlezi.. ukikaweka kwenye himaya uta enjoy sanaa
ππππ Dahmbona wewe na simu za saa 10 alfajiri huwa zinanisumbua.. hivi huwa ni mlinzi au meneja wa bar ππππ alafu usiwe unanipigia huku umelewa.. maana unayo ongea nikikukumbusha unaweza sema sio wewe
Wa Kaskazini πππππ.. Unatamani wa wapi
Nikuambie ulicho niambie jana alafajiri au nikae kimya ? ππππππ Dah
ππππ aaah!Wa Kaskazini π
Emu tuone hao ngβombe
Usikute najichelewesha tu ankoli,Ila mtoto beki hazikabi kumbemtoto kakuelewa , akafu unazunguka sanaaa