Sijambo jirani habari za weekend!!Jirani hujambo..
Naam..ni kheri jiraniIwe kheri jirani
πππ wakuje bana,, watu mule ubwecheWako getini kwa mama Dππ
Che Guevara Hasta siempre
Salama kabisa..Sijambo jirani habari za weekend!!
Usichoke ku approach π π πAaaah! bwana weee acha tupambane na watao ingia guest bubu.. nyie bakini na wa hadhi yenu.. bao ni bao tu.. tunatafuta nyenzo ya kurahisisha kutoa bao
Kuhusu nini mdogo wangu??Tunafanyaje sasa
Nialikwe na mimi jiraniπππ wakuje bana,, watu mule ubweche
huSafi sana kijana wangu..tupia na nyingine ukiwa na shemeji yetu tumwone
huyo sinaSafi sana kijana wangu..tupia na nyingine ukiwa na shemeji yetu tumwone
Unajua kuselfika mkuu π
Duh....vyote hivyo jirani...π
Shaka ondoa jirani selfika πNialikwe na mimi jirani
πππ nyie wa kishua, ma sie wa matopeni huku wapi na wapi.. acha tupambane na size zetu.. mtoto akila mihogo na pepsi chali.. sio nyie hadi mumtunuku mtu kafilisika tayari π€£π€£π€£Usichoke ku approach π π π
Jana uliweka ile nilokuomba jirani??Salama kabisa..
Ushaambiwa hao ni wanaune 4 tofautiπDuh....vyote hivyo jirani...
ππππ hawajulikani walikoπ
Kabisa yaani.Mtoto mkali km Antonnia[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na hata hujutii kutekwa nae..
πππ waumbeni kurahisisha kaziπ