Selfika na JF: Snap it. Show it

Napenda sana
Animation hizo ndo balaa ...
Peter the Rabbit ni Kali sn..mwezi uliopita nilienda Moro Kwa bro,watoto wake wawili watundu sn,nawasha TV wenyewe wakaniwekea katuni.Nilimind lkn nikasema wacha niangalie Tu sina jinsi,but kadili naangalia nikaona nzuri ikaniteka na nikaacha hata kuchati nikakodolea macho TV
 
Katuni huwa zipo addictive mno
Tupo wengi katika kundi hili
Nakumbuka nililia kuangalia beauty and the beast movie hapo cinema ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…