ππππUmeiba status ya nanii
Kweli kabisaAisee
Tukutane mahali penye utulivu mkuuHata hapa hapa
Nadhan atatukumbuka mkuuHapa inabidi connection bila hivyo tutasikia fununu.
Boss tukumbukane hapo kwa screenshot
@Saint anne [emoji7][emoji7]
Nyiguππ
Naomba shikamoo zangu kuanzia Leo π
Nataka za warembo wa kike kama wewe. Wawe wa kike kweliTeyari ninazo za wakaka. Unazitaka?
ππππUsijikute we bintiππNaomba shikamoo zangu kuanzia Leo π
Woyoooooooo ππππ
We me ni mama πππππUsijikute we bintiππ
Dawa yake kunywa glass moja ya MREPS kila siku asubuhi na jioniNdio
Tena mwenye watoto watatuπ€£π€£We me ni mama π
Hajiamini na kiuno alichopewa na mama yake ?Naona ni dada kweli ila picha sio zake
African beauty
Every picture that you post we comment on each one.
Hongera sana kwa moyo mzuri ni wachache sana wanaoweza kufanya hivyo.Watoto ni watoto aisee, haina wa kambo wala wa tumbo