Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole babu jamani, week ijayo itabidi nichukue likizo tuje na Depal tukusaidie na kazi za nyumbani babu๐Ÿ˜Š
Nitafurahi Mjukuu mkija kuniona Babu yenu, Kwa maana nimewamisi sana ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜

Mwambie Depal asisahau kupitia Mafao House kunichukulia Pension zangu, nimepata meseji kuwa zimetoka ๐Ÿ™Š๐Ÿคช๐Ÿคช
 
Nitafurahi Mjukuu mkija kuniona Babu yenu, Kwa maana nimewamisi sana ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜

Mwambie Depal asisahau kupitia Mafao House kunichukulia Pension zangu, nimepata meseji kuwa zimetoka ๐Ÿ™Š๐Ÿคช๐Ÿคช
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sawa babu nitamfikishia taarifa.

Huu ndio muda mzuri wa kumtembelea babu sasa๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ