Anatafuta ugomvi na sisi huyu.Mwambie tutampiga tumuue [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viumbe mna shughuli nyie mmeamua kutu group.T T T
Titi titi
Tumbo tumbo
Tako tako
T t T
Titi titi
tumbo flat
Tako tako [emoji39]
ttT
titi konzi
tumbo flat tummy
Tako tako[emoji39]
TTt
Titi titi
Tumbo tumbo
tako flat (Manka)[emoji28]
Bora umwambie
Acha bhas
Sisi ndo wataalam
Lazima nyie si maua yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viumbe mna shughuli nyie mmeamua kutu group.
Aiseeπππ nilimpenda as mshikaji, zaidi ya hapo ni kukimbia tu
Jirani hizo aisee zako uwa zinanishtua sanaAisee
Mpaka anajihisi kijana πππNi motoooooo fire [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Kuna bibi mmoja mstaafu mwenzangu ni mjane mbona kaikubali chuma ikikaa kwa anga weeee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Danger πβ‘πβ‘ππππ .. Asalai ukipiga na baadhi ya mixer huwa inakuwa hatari sanaa
Usiziogope jiraniJirani hizo aisee zako uwa zinanishtua sana
Nuzulati nifanyie mpango niipate hii mama yangu kipenzi.. mzaa chemaππππ
Naifahamu ile nilikuwa na gallon imejaa tena we ndiye ulinambia, inakuwa na uchachu.
Yani ngoma ikipaa hewani kurudi chini mtihani, sasa na hio mixer si itakuwa π₯π₯π₯
Kama anataka kuimarisha ndoa hana budi akusikilize.Nuzulati nifanyie mpango niipate hii mama yangu kipenzi.. mzaa chema
_King hongera sana