Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu ile asali inasababisha mnara unasoma 6G+ bado ipo?
Niliyokuwa nayo imeisha juma lililopita, nimeagiza nyingine Tura station njia ya kuelekea Tabora inapatikana kwa wingi sana kule. Halafu ukiipata uwe unachanganya na kinywaji kinaitwa Akayabagu! Mbona hatari! Kama bado hujaoa utajikuta unalifanya sana godoro


Asali inaitwa UPULA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂
Naifahamu ile nilikuwa na gallon imejaa tena we ndiye ulinambia, inakuwa na uchachu.
Yani ngoma ikipaa hewani kurudi chini mtihani, sasa na hio mixer si itakuwa 🔥🔥🔥
 
Mkuu nitakutafuta.
 

Naifahamu ile nilikuwa na gallon imejaa tena we ndiye ulinambia, inakuwa na uchachu.
Yani ngoma ikipaa hewani kurudi chini mtihani, sasa na hio mixer si itakuwa
Ni motoooooo fire
Kuna bibi mmoja mstaafu mwenzangu ni mjane mbona kaikubali chuma ikikaa kwa anga weeee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…