Mwana sii unialike basi hapo morena uninunulie kuku nile na mie.Oya mwanangu Mad Max wapi hiyo.. Kama weekend tayari imeshafika na mwisho wa mwezi ni huu ππ
Ukiwa mkubwa
Mkuu nipo samaki samaki mlimani city.. panda basi uje π€£π€£π€£ weekend kuilia morogoro ili iweje..Mwana sii unialike basi hapo morena uninunulie kuku nile na mie.
Huyu christine vipi bado tuu kafichwa chumbani? Leo sijaona mapozi yake kwenye pool
Nachojua we ni mkorofi + mbabe sana tena mnoMe mpole sana
We mwenyewe unajua ππ
π₯°π₯°π₯°ππππNachojua we ni mkorofi + mbabe sana tena mno
In short sura na tabia haviendaniππ
Kwahiyo umeamua kabisa kunibondea hapo chini nilipondokea π€£π€£π€£Nachojua we ni mkorofi + mbabe sana tena mno
In short sura na tabia haviendaniππ
Yan kwamba you support? ππππ₯°π₯°π₯°ππππ
ππππ hasemi uongoo... hata kidogo nakumbuka tuu π€£Yan kwamba you support? πππ
Unakumbuka nini? Muone πππππππ hasemi uongoo... hata kidogo nakumbuka tuu π€£
Kabeat kazuri..
Anajua nasema ukweliπYan kwamba you support? πππ
Yalla yallaKabeat kazuri..
Nipe lokesheni basi
Ninauhakika huruma yako ndani Yake itakuwa na kiubishi kimtindoπsitaki maswali mobu
Movie gani hiyo πππ staring ni nani na jambazi ni naniNipe lokesheni basiView attachment 2270649
Ndiwooooππππππ hasemi uongoo... hata kidogo nakumbuka tuu π€£
Yoooβ¦.Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu motto mashallah (mashallah)
Yalla yalla
Yakh habibi me napenda raha, huyu motto mashallah (mashallah)ππ
Gaidi la ki Arusha hilo au la ... π€£π€£Ndiwooooππ