Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Angalau jirani wewe naweza kukupa.
Nilishamwambia aje kuchukua bia zake.@Post M-alone
Mkwepu anacomment mara Moja Kwa mwaka.Kwa kweli [emoji1787][emoji1787] maana mambo mengine ni kama kuonekana kwa kakakuona
Akhsante Jirani.Marahaba jirani...napenda msimamo wako jirani.
🙏 🙏Angalau jirani wewe naweza kukupa.
Upo kwenye Age ya watu waliokula chumvi nyingi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mara nyingi sana naitikia abee 😂😂 nilianza kupunguza baada ya mtoto wa mtu kusema anafall in love na hizo ‘abee[emoji38]
Huwa nawaitikia watu wa makamo na wenye heshima.
The rest Salamalekooo...
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Usiniambie[emoji2297]Angalau jirani wewe naweza kukupa.
Upo kwenye Age ya watu waliokula chumvi nyingi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Jirani sio kila kitu napewa, ni salam tu..Usiniambie[emoji2297]
Unampa kabisa
Tena yote yote[emoji2369]
Aisee atafaudu[emoji1787]
Kitulo hii[emoji848]
Halelujah[emoji120] [emoji120]
[emoji1787]Jirani sio kila kitu napewa, ni salam tu..
Mtoto wa mtu kumpa hiyo ni lazima.Mara nyingi sana naitikia abee [emoji23][emoji23] nilianza kupunguza baada ya mtoto wa mtu kusema anafall in love na hizo ‘abee
NdiyoUsiniambie[emoji2297]
Unampa kabisa
Tena yote yote[emoji2369]
Aisee atafaudu[emoji1787]
@Saint AnneMtoto wa mtu kumpa hiyo ni lazima.
Wazazi na watu wa makamo..wanaojitambua.
Wengine tupambane tu na mambo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Amepiga vyombo huyo[emoji23]..achana naye.Jirani sio kila kitu napewa, ni salam tu..
Mtoto wa mtu anaogelea hizo abee hadi basi.@Saint Anne
Wachaa
Chibongee[emoji7][emoji91]Furahi day
TGIF