Subiri hiyo siku ndiyo utajua hujui...Mrembo mwenye shape lake atanza wapi kuharibu cv kwa kufoka?🤣
Duh[emoji2297]Huyu ni binti tena mrembo mkuu.
Hapq anaogopa kupost kwani ana zigo hadi sio poa.
Kipozeo atakufa bure[emoji1787]
Wachaaa..unaninadi kwa sifa zisizo zangu au sio!!.Huyu ni binti tena mrembo mkuu.
Hapq anaogopa kupost kwani ana zigo hadi sio poa.
Kipozeo atakufa bure🤣
Thank you...thank you...thaaank you vere much😊Umeshindaaa
MuoneThank you...thank you...thaaank you vere much😊
Hapana sio demuSio Demu[emoji848]
Wacha Basi...unanifahamu na wale ninaowapost wajua vyema Ni kutoka gugoHaa kwani nani humu hajui kuwa wewe ni kifaa?
💪💪Muone
Umeshinda boss
Nashukuru Boss😊Umeshinda boss
AhsanteWow mtoto mcutie
😂😂Atafanya kilw nataka hata kama umenuna😅
Na bado nimekupaniaUmeifanya siku yangu..leo ulinipania😂
Ngoja tuoneUzuri huwezi hata kunidhuru lkn😅
Zile churaMimi silali ng'oo na huu ndiyo muda wangu,japo nipo mwenyewe hapa ila sijali kitu[emoji41][emoji41][emoji41]
🤣🤣🤣Zile chura
Zimesepa[emoji848]