Selfika na JF: Snap it. Show it

Nipoo poaaaah, leo weekend niwekee picha za kutishaa nifurahi.
Ili waendeleee kukusengenya na kukung'ong'a vizurii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF jomoneee khaaaah.
Yani kwangu unachagua tyu unataka nene shos angu is it hipusiii naked trako lips eyes niwewe tyuuuu!!!😘😘😘
 
Umebahatika kufundsha shule sjasoma tungesumbuana sana madam
Hahahaaa!! Ni ningekutandika mbarati mpaka ujuteee sitakai mazoea na wanafunzi kabisa asee!!
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ acha.. ebu Shangazi Antonnia okoa wajomba zako hapa.. sie hapa hatutaki maneno maneno tunakata kufurahi tu
Sina picha mjomba kama unayo weka tufurahi ausio!!
 
Nakuelewa shos haunaga mbambambaa kabisa shos akeee!! Jana niliweka nivosuka shos uliona???[emoji8][emoji1732][emoji1787][emoji12]
Ile uliweka uliziba sana, niwekee leo nijimwayee mwayee.
Ili wachote akili vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shougaaa angu sina mbavuuu, watuma picha wote ni mbululaaa,
Khaaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…