Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Nijaze nijazeee Mdogo wangu wee now nijaze tuuu!! [emoji849][emoji849]
Ndio MkuuMkuu Tena [emoji26][emoji26]
Acha niwe mpenzi mtazamaji tuSasa mtafute wote.. hakuna maisha rahisi au ya kutafuniwa [emoji2][emoji2]
ntakupeleka C9 utoe single moja ya mipasho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzoooooh mie staki ujue? Niacheeee
Vipi habari ya leo ?[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Niite mzeeNdio Mkuu
Kwani si sahihi ?
Mungu mwema, tupo tupo tu hapa selfieVipi habari ya leo ?
Mmh hayaNiite mzee
Ooh vyemaMungu mwema, tupo tupo tu hapa selfie
πππππ Hii sio powa kabisaAcha niwe mpenzi mtazamaji tu
Tajiri vitu vyako hvyo maji marefu hayo kwangu mm acha nidili na beki 3 tuWatu tuna ramba tu lips [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] na kula kwa macho tuu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Hii sio powa kabisaView attachment 2263454
Hahahah hapo Tupo shule kuna intershool competition shule jirani yaja shuleni kwetu mjombaa!!!πMaisha hayo mzuri sana, ukiona mtu ana furaha ujue ana furaha kweli.. ila huku mjini tuna fake sana furaha ili maisha yaende πππ Hapo ndizi mambo yanakuwa safii sana
Na mie ππ kamuariko Shangazi basii .. hata kuja kutembelea maabara tu ππHahahah hapo Tupo shule kuna intershool competition shule jirani yaja shuleni kwetu mjombaa!!!π
Mmh! mambo ya wazito hayo mie na wewe hao ni shemeji zetu tu.. πππTajiri vitu vyako hvyo maji marefu hayo kwangu mm acha nidili na beki 3 tu
Embu nitafutie Madame aliyetulia hapoHahahah hapo Tupo shule kuna intershool competition shule jirani yaja shuleni kwetu mjombaa!!![emoji12]
π€£π€£π€£π€£π€£ karibu sana mjomba leo shule full burudaneeeeee!!!π€Έπ€Έπ€Έπ€ΈNa mie ππ kamuariko Shangazi basii .. hata kuja kutembelea maabara tu ππ
Dah! Ningekuwa karibu ningekuja kuna mziki πππ€£π€£π€£π€£π€£ karibu sana mjomba leo shule full burudaneeeeee!!!π€Έπ€Έπ€Έπ€Έ
Tajiri ule mzigo ulioupakia kwenye Gari yako dahhh sio poa watu mna faid sana nchiMmh! mambo ya wazito hayo mie na wewe hao ni shemeji zetu tu.. [emoji2][emoji2][emoji2]