Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi sijaupiga mwingi sana.

Nimeongea namna wanaume wanaonukia wanavyocatch attention yangu.

Ukikaa naye safarini huboreki.


Sasa juzi nimekaa na mmama anajikoboa..ile harufu ya micream

Mikono ina rangi 2 aiseee safari ilikuwa ndefu.
yaan mtu anaejikoboa sijui namuonaje, weupe hata sio dili mbna. Watu hawajui tyuuh yaan khaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…