Selfika na JF: Snap it. Show it

Niko hapa shos sikuhizi natumia Antonnia!!

Saprrrrrrrrriiizzzzzeee!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji8][emoji8][emoji8][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka useme mwenyeweeee, nkasema hili ingizo jipya who? Nkasema wacha nimchokoze kwan.

Afu kuna ingizo jingne naliona pia, nahisi ni yeye ninae muwazia, nambie shouzzzzz ake, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Jina halijakaa vizuri, lipo local sana nawee, hebu weka iconic yako speshooooooooh, jina hili usinambie n lako halisi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mie naona shoss humu sikuhizi uvamizi kama woteeee!! Mambo yashakua mengi humu!!
 
Hahahaaa!!! Im Antonnia meeeeeeeennnnn!! Hilihili shos lile nimeshaliacha mie Im happy na new Identity!!!
 
Hata mie naona shoss humu sikuhizi uvamizi kama woteeee!! Mambo yashakua mengi humu!!
Afu selfika inapoteza ladha kabisaaa, yaan sijui imekuaje lol.
Au ndo macho yangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Avatar shouzzz nimeielewa pia.
 
Hahahaaa!!! Im Antonnia meeeeeeeennnnn!! Hilihili shos lile nimeshaliacha mie Im happy na new Identity!!!
Sasa weka hivi, "Tonniah"
Lina sounds ki speshooooooh,. Hebu bas nifanyie favour, ntashindwa kukutag bhana, jina refu. [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Afu selfika inapoteza ladha kabisaaa, yaan sijui imekuaje lol.
Au ndo macho yangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Avatar shouzzz nimeielewa pia.
Selfika yasasa sio ya juzikati hapa ama ndio zama kubadilika!!!..naona mambo yashakua mengi humu dizain Panaboa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…