Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Jun 10, 2022 #212,681 Heaven Sent said: Miss colors🥰🥰🥰🥰 Click to expand... Hahaaaa Wizo hiyo ni jumpsuit ambayo ina suruali kwa ndani na gauni peke ake,ila vinavaliwa kwa pamoja
Heaven Sent said: Miss colors🥰🥰🥰🥰 Click to expand... Hahaaaa Wizo hiyo ni jumpsuit ambayo ina suruali kwa ndani na gauni peke ake,ila vinavaliwa kwa pamoja
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Jun 10, 2022 #212,682 mtu chake said: mashalaah,pisi kali,mungu fundi Click to expand... 😁😁😁asante Mungu funding🙏
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Jun 10, 2022 #212,683 Tinsley said: Ah wewe ni photogenic kweli rangi zinakupenda pia Click to expand... hahahahaha,kumbe hadi we umeona eeh
Tinsley said: Ah wewe ni photogenic kweli rangi zinakupenda pia Click to expand... hahahahaha,kumbe hadi we umeona eeh
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 10, 2022 #212,684 Alayna said: Spider wewe 😀 Ngoja shangazi Strawbella aje anisaidie kujibu Click to expand... Unantesa tu kumbe cuzo wangu ww anti yako basi ngoja nimwambie akuelekeze
Alayna said: Spider wewe 😀 Ngoja shangazi Strawbella aje anisaidie kujibu Click to expand... Unantesa tu kumbe cuzo wangu ww anti yako basi ngoja nimwambie akuelekeze
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Jun 10, 2022 #212,685 Christine1 said: 😁😁😁asante Mungu funding🙏 Click to expand... hv zile fomu zang za kuwania jimbo bd hujazipitia?
Christine1 said: 😁😁😁asante Mungu funding🙏 Click to expand... hv zile fomu zang za kuwania jimbo bd hujazipitia?
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Jun 10, 2022 #212,686 Tinsley said: Ah wewe ni photogenic kweli rangi zinakupenda pia Click to expand... Asante my Sie weusi acha tuvae rangi baby ili tung'ae kidogo😁
Tinsley said: Ah wewe ni photogenic kweli rangi zinakupenda pia Click to expand... Asante my Sie weusi acha tuvae rangi baby ili tung'ae kidogo😁
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,283 Jun 10, 2022 #212,687 Tinsley said: Ah sio mbaya kama ni kidogo Kikiongezeka hapo ndo shida .. Wanashauri kutokula wanga usiku sema ni ngumu aisee . Click to expand... Kipo kipo kwa mbali, nakomaa nacho.. Kuacha kula wanga ni ngumu, yan nilalie Carbs? Mhh huo uzungu hata sina 🤣
Tinsley said: Ah sio mbaya kama ni kidogo Kikiongezeka hapo ndo shida .. Wanashauri kutokula wanga usiku sema ni ngumu aisee . Click to expand... Kipo kipo kwa mbali, nakomaa nacho.. Kuacha kula wanga ni ngumu, yan nilalie Carbs? Mhh huo uzungu hata sina 🤣
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 10, 2022 #212,688 mtu chake said: hahahahaha,kumbe hadi we umeona eeh Click to expand... Ah nimeona rafiki Napenda picha zake ..
mtu chake said: hahahahaha,kumbe hadi we umeona eeh Click to expand... Ah nimeona rafiki Napenda picha zake ..
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 10, 2022 #212,689 Christine1 said: Asante my Sie weusi acha tuvae rangi baby ili tung'ae kidogo Click to expand... Ah kweli Hakuna rangi ya mtu mweupe wala mweusi Kikubwa kupendeza
Christine1 said: Asante my Sie weusi acha tuvae rangi baby ili tung'ae kidogo Click to expand... Ah kweli Hakuna rangi ya mtu mweupe wala mweusi Kikubwa kupendeza
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Jun 10, 2022 #212,690 mtu chake said: hv zile fomu zang za kuwania jimbo bd hujazipitia? Click to expand... Shimba ya Buyenze Come here ujibu swali
mtu chake said: hv zile fomu zang za kuwania jimbo bd hujazipitia? Click to expand... Shimba ya Buyenze Come here ujibu swali
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Jun 10, 2022 #212,691 Tinsley said: Ah kweli Hakuna rangi ya mtu mweupe wala mweusi Kikubwa kupendeza Click to expand... Asante dear ni kwelia
Tinsley said: Ah kweli Hakuna rangi ya mtu mweupe wala mweusi Kikubwa kupendeza Click to expand... Asante dear ni kwelia
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,283 Jun 10, 2022 #212,692 Tinsley said: Ah kweli Hakuna rangi ya mtu mweupe wala mweusi Kikubwa kupendeza Click to expand... Mhh Kwani mama rangi anasemaje? Heaven Sent Valisha mustard yellow mtu mweupe na mweusi, then ucheck nani atawaka sana.
Tinsley said: Ah kweli Hakuna rangi ya mtu mweupe wala mweusi Kikubwa kupendeza Click to expand... Mhh Kwani mama rangi anasemaje? Heaven Sent Valisha mustard yellow mtu mweupe na mweusi, then ucheck nani atawaka sana.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 10, 2022 #212,693 Christine1 said: Shimba ya Buyenze Come here ujibu swali Click to expand... Acha kumkazia mtu chake sikiliza maombi hayo
Christine1 said: Shimba ya Buyenze Come here ujibu swali Click to expand... Acha kumkazia mtu chake sikiliza maombi hayo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Jun 10, 2022 #212,694 Tinsley said: Ah nimeona rafiki Napenda picha zake .. Click to expand... hahahahaha,yuko vzr
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 10, 2022 #212,695 Depal said: Kipo kipo kwa mbali, nakomaa nacho.. Kuacha kula wanga ni ngumu, yan nilalie Carbs? Mhh huo uzungu hata sina Click to expand... Ah hakina shida hicho Uzungu mgumu sana .. nilijaribu muda fulani ikaniwia ugumu yaani jioni nipike wali ule then niende kutafuta matunda nile au mboga za majani ah sikuweza .
Depal said: Kipo kipo kwa mbali, nakomaa nacho.. Kuacha kula wanga ni ngumu, yan nilalie Carbs? Mhh huo uzungu hata sina Click to expand... Ah hakina shida hicho Uzungu mgumu sana .. nilijaribu muda fulani ikaniwia ugumu yaani jioni nipike wali ule then niende kutafuta matunda nile au mboga za majani ah sikuweza .
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Jun 10, 2022 #212,696 sophy27 said: Mama Junia I miss u Click to expand... Mimi zaidi
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Jun 10, 2022 #212,697 spidernyoka said: Acha kumkazia mtu chake sikiliza maombi hayo Click to expand... hahahahaha,ananipotezea kumbe eeh
spidernyoka said: Acha kumkazia mtu chake sikiliza maombi hayo Click to expand... hahahahaha,ananipotezea kumbe eeh
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 10, 2022 #212,698 Depal said: Mhh Kwani mama rangi anasemaje? Heaven Sent Valisha mustard yellow mtu mweupe na mweusi, then ucheck nani atawaka sana. Click to expand... Ah huyo ndo fundi wa rangi Mweusi hapo lazima awake sana
Depal said: Mhh Kwani mama rangi anasemaje? Heaven Sent Valisha mustard yellow mtu mweupe na mweusi, then ucheck nani atawaka sana. Click to expand... Ah huyo ndo fundi wa rangi Mweusi hapo lazima awake sana
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 10, 2022 #212,699 mtu chake said: hahahahaha,ananipotezea kumbe eeh Click to expand... Naona anapotezea mada mkuu na jambo unalomwambia ni la kheri
mtu chake said: hahahahaha,ananipotezea kumbe eeh Click to expand... Naona anapotezea mada mkuu na jambo unalomwambia ni la kheri
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 10, 2022 #212,700 mtu chake said: hahahahaha,yuko vzr Click to expand... Yeah sure Unaendeleaje leo ?