Ok…I think alimaanisha ya alizeti,ni kweli yapo yenye povu
Ambayo ndo hayo mi nimesema ni Yale wafanyabiashara wadogo wanayachukua na kuanza kuyachemsha tena ili kupata mafuta!
Ss kuyafahamu ni balaa unaweza pigwa vzr tu
Asante sana kwa dua zako 🙏🏽🙏🙏🙏 zetu ni duwa na sala tu mama kijacho. Mafanikio yetu kwa ajiri ya vizazi na vizazi😍. Ukafanikiwe kila ugusacho na kila utakamcho kikakubalike na wateja wetu 🙏
Sasa airtel money wao walishindwa tumia ‘airtel pesa 😅Good morning...
NakujaMorning
How r u?
Nakusubiri kule pm😎😁
Salama, Tunashukuru Mungu kumekucha na mapambano yanaendeleaDodoma moja hiyo
Salama lakini mkuu..
Kata kushoto uje hapa Mwanga Bar tupate supu ya kuku..Good morning...
Wamefanya product differentiationSasa airtel money wao walishindwa tumia ‘airtel pesa 😅
Una kanshape flani hivi amazing.. upo wapi mkuu nije kukupa hi 😬😬
Nakuja mkuuKata kushoto uje hapa Mwanga Bar tupate supu ya kuku..
Geuka mrembooo
Sasahivi nipo hapa Selfika kaka vipi na leo kuna sandakalawe???Una kanshape flani hivi amazing.. upo wapi mkuu nije kukupa hi 😬😬
Fanya hivyo jioni leo tuonane tupige ulabu kidogoNakuja mkuu
Tehteh!! Usiwaze Nakuletea hapo ulipo!Geuka mrembooo
Sema nn hiyo snicker nimeielewaaa
💕💕
Pamoja mkuu.Fanya hivyo jioni leo tuonane tupige ulabu kidogo
Sawa shouzTehteh!! Usiwaze Nakuletea hapo ulipo!
nimecheka sandakalawe😁Sasahivi nipo hapa Selfika kaka vipi na leo kuna sandakalawe???
Nakuzoom tu hapaPamoja mkuu.