Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
uongo sio mzuri,hata mm mtu muongo adui yanguMie
Jus social ,sipendi mtu muongo,ukizingua nakuzinguaπ
Hapo nakula nyama tuπNipo mtumishi...
Wasukuma wameweza kukupatia vocha au wamezingua?
Kama bado njoo PM nikufanyie kimuamala kidogo uweke bando la mwezi mzima
Baada ya hapo uje Misungwi tukuandalie mlo wa uhakika kama ilivyo kawaida yetu Wasukuma...
View attachment 2255363
uongo sio mzuri,hata mm mtu muongo adui yangu
Na yule CocaNime miss kwa kweli
YalikukutaWanawake vi portable ni wazur hata sita kwa sita tatizo wana mdomo jaman wivu ukifumaniwa na kiportable jipange
Tulikimbazana na viportable barabarani jaman sitasahau
Mabonge mapoleee hata likikufumania linaishia kulia tu na kujibwaga chini pwaa!Wanawake vi portable ni wazur hata sita kwa sita tatizo wana mdomo jaman wivu ukifumaniwa na kiportable jipange
Tulikimbazana na viportable barabarani jaman sitasahau
Duh nimecheka aiseeeWanawake vi portable ni wazur hata sita kwa sita tatizo wana mdomo jaman wivu ukifumaniwa na kiportable jipange
Tulikimbazana na viportable barabarani jaman sitasahau
Wanafunzi wa vyuo hawafanyi mitihani kweli? Labda kabanwa na UE....Huyu nae sijui ana balaa gani limemkuta mzigua aligusia hapa jukwaani ni huko pm
Wacha weeeeeeeehhh!!! Hapo sasa mnaendana! Mmebalance nyote hampendi muongo!πuongo sio mzuri,hata mm mtu muongo adui yangu
Mabonge mapoleee hata likikufumania linaishia kulia tu na kujibwaga chini pwaa!
watoto wazuri wanahitaji care kubembelezwa kuonesha kwamba wao ni wa thamank wanaitaji kupendwa sio kuendeshwa endeshwaahahahahaha,we mkali wa hizo kazi
Duhh! Pole kwake kama ni kweli.Huyu nae sijui ana balaa gani limemkuta mzigua aligusia hapa jukwaani ni huko pm
Nimecheka jmn uwiii!Mabonge mapoleee hata likikufumania linaishia kulia tu na kujibwaga chini pwaa!
Kumbe dua zangu kwakeWanafunzi wa vyuo hawafanyi mitihani kweli? Labda kabanwa na UE....
no way ni lazima umpe wanaume wenyewe wachache jamani!!Duh nimecheka aiseee
Jmn tumefanyaje we geneticπππ
Na kwann ufumaniwe jmn?
To be honesty Fanya yote nitakuwa mpole,once nimegungua unacheat,yaani na share dyudyu,hakuna rangi utaacha ona,ila sitakuwa naongea ,na sitakunyima nitakupa tu ilaa........πΆπ·
Ewaaaa si unajua wasukuma wako vzrwatoto wazuri wanahitaji care kubembelezwa kuonesha kwamba wao ni wa thamank wanaitaji kupendwa sio kuendeshwa endeshwaa
Ugali nitakulisha mpendwa. Hiyo wala siyo kesi kivile...Hapo nakula nyama tu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π π π π Nimecheka hadi machoziiiiiπ π π π π π π π πMabonge mapoleee hata likikufumania linaishia kulia tu na kujibwaga chini pwaa!
Nitampa tu tena vzr snno way ni lazima umpe wanaume wenyewe wachache jamani!!
Kwenye nyama nyingi kama hizo ni tonge nyama huko nitarudi ni kibonge mnoππUgali nitakulisha mpendwa. Hiyo wala siyo kesi kivile...
Ila hata uamue kula nyama tu ni sawa. Tena ndo unachinjiwa ling'ombe lizima. Na siku ya kuondoka unabebeshwa nyama zilizokaushwa.