Selfika na JF: Snap it. Show it

Si naambiwaga hapo SUA wamejazana au sound tu.

izo selfie mbona mnafuta fastaaa?
Hakuna kitu pale samaki, na bado siamini kama kuna wanafunzi wanajiuza labda kudanga.. ile ya pale ni mikurumbembe iliyokubuhu alafu inajidai wanafunzi , kama unataka wanafunzi zamia mitaa ya mzumbe kule yan chap au huko huko sua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…