Duuhh!!bongo hii km UlayaNiliwahi kuishi kule kwa muda, nilisurrender lile baridi.
Baridi ikikolea; muda wa kwenda kazini/shuleni unapelekwa mbele kidogo. Ndiyo sehemu pekee niliyoshuhudia snow. Afu zile radi zinapita miguuni tititititiiii hapana jamani.
,ππππ kwaiyo nyie wanafunzi watukutu mkawa mnaenda eehNimekumbuka
Tulivyofika chuo , tulionywa tusifike hapo
Malecturer walitukataza kabisa ..
One minute Stay there... πNimefika mrembo
Umejileta huku mwenyewe ebu selfika π€³ kidogo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]balaa
Duh! Hatari mno.Sita yote hiyo siku nyingine inagonga negative
NipoOne minute Stay there... π
[emoji23][emoji23] poleNdiyo siku nimetoka Makete nikaenda Mbeya. Kufika kule nikaona haka mbona sio kabaridi, nikaenda town na shifoni. Sijawahi kukohoa vile maisha yangu
Nilivyorudi mjini, nilijichimbia ndani for 2 weeks, angalau mfubao wa ngozi upungue.Duuhh!!bongo hii km Ulaya
Nilishapoa. πππ[emoji23][emoji23] pole
Asante midomo imenona ππWoooooooozzzzaaaaaahhhhh! _King Mbayuwayu nimeona kwato zako nakudai ya mchana ulikimbia!View attachment 2254647
Hujui kuwa mie ni lecture πππShendwaaaaaaaa
NimeiwahiWoooooooozzzzaaaaaahhhhh! _King Mbayuwayu nimeona kwato zako nakudai ya mchana ulikimbia!View attachment 2254647
Hata Mimi ni lecturerππHujui kuwa mie ni lecture πππ
Ngoja nijitahidi niwe napiga pichaπππna ranging zangu
Mapigo yako nayaelewa sanaπππna ranging zangu
Tehteh..Nawewe weka namimi nikuwahi mkuuNimeiwahi
[emoji7]Haya chukua hyooView attachment 2254650
πππ haya lecture mwenzanguHata Mimi ni lecturerππ
Waooo[emoji23][emoji23][emoji23]na ranging zangu