Watu wanachanganya hawaelewia ,kuna rangi zinaendana hazina shida zikiwa 2,3....
Pia watu tunatofautiana colour code...
Mfano mi hapa nimevaa puul neck nyeusi,biatu vyeusi!,hiyo suruali ni nyekundu na hereni ni nyekundu except kikoti tu ni baby yellow,cm tu imeweka filter imefanya rangi zimeng'aa but ni rangi zilizopoa!
Ni Mimi huyo kabisaaView attachment 2254633
Binaaaaaaa. Kimwili kinazidi tu kuwa Cha mtotoNi Mimi huyo kabisaaView attachment 2254633
Asante dearRangi zinakupenda dear
Looking gorgeous
Kama kawa big boss.T
Uko poa!!
Mimi nlismell kitu fishy hapa members wengi hawaonekan humu na nmeona sura mpya smh dominating hii thread basi wakongwe wameamua kukimya
Duuuh 16 hatari. Nilikua Njombe last week aisee yale Mateso.Ir tunaganda, wengine vipi kwenu??View attachment 2254624
Nchi bila wazee haiendiAcha wale pension vizuri vijana tunashikilia usukani!!
Mimi nakuelewa vizuri, maana colors hazinisumbui; nagonga tu yulee. Watu wengi wasiopenda crazy color hata ikiwa moja tu hawakuelewi; afu ukizichanganya ndiyo hawakuelewi kabisa. We good to go wizo ake
Ila we dada 🔥Haswaaaa
Mama mtumishi Niko hapa
Hatari mno, sijui linatutakia nini hili baridiDuuuh 16 hatari. Nilikua Njombe last week aisee yale Mateso.
Hii ndo uliikosa wizioo😂Binaaaaaaa. Kimwili kinazidi tu kuwa Cha mtoto
Wapo wazee vijana wachache mbona huwaoni kwani!???Nchi bila wazee haiendi
Pleated skirt on fleek[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Haswaaaa
Mama mtumishi Niko hapa
Naomba kile kiatu kizuri cha siku ile
Niambie🙏Ila we dada 🔥