T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,107
- 30,528
Happy birthday mkuuAsante kipenzi[emoji7][emoji1431]
Heri ya siku yako ya kuzaliwa mpendwaNamshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine [emoji1380][emoji1380][emoji1380]
Asante rafiki yangu wa jf kwa kuniletea zawadi sijui nikutaje au basi[emoji16][emoji16]
Wewe ni mzuri nimekupenda bure mkuu
Umependeza π
Asante mkuu![emoji8][emoji120]kwa utukufu wa Mungu!Wewe ni mzuri nimekupenda bure mkuu
Kwema lakini mpendwa
Happiest birthdayNamshukuru Mungu kwa kuongeza mwaka mwingine [emoji1380][emoji1380][emoji1380]
Asante rafiki yangu wa jf kwa kuniletea zawadi sijui nikutaje au basi[emoji16][emoji16]
π©βπΌπ©βπΌπ©βπΌπππ
AMINAAsante mkuu![emoji8][emoji120]kwa utukufu wa Mungu!
kwema mpendwa!
Lete habari
Sent using Jamii Forums mobile app
_King[emoji68]β[emoji480][emoji68]β[emoji480][emoji68]β[emoji480]
Tinsley mamboHappiest birthday
Mambo mtoto mzuri?Tunaendelea kuizoea taratibu tutaona kawaida tu
Mkuu T 1990 ELY niaje mzee mwenzagu
Niaje mkuu mwenzangu π πMambo mtoto mzuri?
Nipo na chat na mgeni, sijawahi muona..πNiaje mkuu mwenzangu π π
Inabidi umkaribishe mkuu anahitaji ukarimu π πNipo na chat na mgeni, sijawahi muona..π