Sijasahau Alicia keys ulisema ukinywa chai unatupia ππAsubuh hutakiwi kushiba sana ππ
ππ sawaAsubuhi ni afya zaidi
Kutoa stress za gesi
Bado nakunywa chai et ππΆββοΈSijasahau Alicia keys ulisema ukinywa chai unatupia ππ
Pole SanaSijambo mpwa....
Waendeleaje huko?
Nilikwama njiani....
Kuna daraja limevunjika hapa Misungwi yaani usafiri shida tupu.
Zawadi itakufikia tu...afe kipa afe refa.
Ndugu zangu wanasemaje huko?
Bado wanakuletea mazagazaga lakini?
π¬π¬π¬π¬π¬ chai mda wote jamaniBado nakunywa chai et ππΆββοΈ
Hii tunakuona unakagua mizigo bandarini!Kama hii[emoji116][emoji780]View attachment 1217175
Kumbe mtoto mdogoKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
NdiooπππTena aniache miles nyingi π€£
Eeh πππNywele[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kuja kipande hiki nime miss ππ
NakujaaπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈKuja kipande hiki nime miss ππ
π€π€π€π€π€π€π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°NakujaaπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Chukua hiyo shati kali uje location tuselfike[emoji625]Shopping kkoo. [emoji188][emoji188][emoji188]
View attachment 2249130
βΊοΈβΊοΈβΊοΈChukua hiyo uje location tuselfike[emoji625]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawaJibu PM za Wasukuma tu....
Kumbuka hilo jimbo umetupa Wasukuma baada ya kuchoshwa na wala maparachichi....[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2248866
hahahahahaha,dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa
Msukuma kashasema jmn nadhani tumeelewana[emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaendelea kuizoea taratibu tutaona kawaida tuKwema mnaendeleaje na New User Interface ya jamiiforums?