Selfika na JF: Snap it. Show it

Usitoke kaa hapa hapa
Leo kibanda changu cha vocha kimenipa faida ya kutosha nimeamua kugwana na ndugu zangu hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nifanyie wepesi kule basi, mimi siwezi kushindana na vijana hapa vocha yenyewe kuingiza hadi nitafute miwani, mara unaingiza mtoto kadaka simu huyu kavuta gauni mradi tafrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…