Aisee mbona zote ni kaliπππ π π chusi za design ipi hapa
View attachment 2241967
alafu chini tuchukue nike au adidas πππ
Haha FIB yupo kalala , bora Big boy kapiga heavy brekfast muombe sasa ruhusa badae nakupitia π π
The 2nd one ni π₯π₯π₯Muuzaji ameleta hiviView attachment 2241979View attachment 2241980
Basi tuchukue wote hiyo hiyo sale saleee eehππ hapo ndio namuelewa sana Big boy mzungu sanaa yaani.. rohoo nyeupe safi sanaAisee mbona zote ni kaliππ
I'll go with yenye iko na yellow logoπ
Ruhusa nishamuomba, kazi yangu kumuandalia lunch kabisa then nasepa
Mimi hapa hamuamin au [emoji23][emoji23]Mpishi yuko wapi [emoji28][emoji28]
KARIBUChapati tayar mje na supuView attachment 2241935
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji3059][emoji3059][emoji3059]Baadae
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Hebu nikae kmya, shangazi ni baba, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Ndio shangazi nimepika mwenyew
π π π nakuchukulia hivyo mie nachukua hivyo vya kwanzaThe 2nd one ni π₯π₯π₯
Nimefall inlove nayoπ
Sare sare ndio mpangooooπBasi tuchukue wote hiyo hiyo sale saleee eehππ hapo ndio namuelewa sana Big boy mzungu sanaa yaani.. rohoo nyeupe safi sana
Vya kwanza vimekaa kiume zaidi, vitakutoa poa sana.π₯ππ π π nakuchukulia hivyo mie nachukua hivyo vya kwanza
Na mie roho nyeupe ndio maana damu zimeendana kabisaa yaani sio unaona hata wewe na FIB hakuna nomaa kabisaa π πSare sare ndio mpangooooπ
Big boy hanaga baya na mtu... roho + matendo ya kizungu ka wewe tu.
Au mna kaundugu hatujagundua?π
π π π watu wanakula kizuriMimi hapa hamuamin au [emoji23][emoji23]
Ki sport zaidi yaani badae tutupie na vi picha au tukaushe π π πSare sare ndio mpangooooπ
Big boy hanaga baya na mtu... roho + matendo ya kizungu ka wewe tu.
Au mna kaundugu hatujagundua?π
Asante[emoji39]
Hahha jinga kbisa[emoji38]Hebu nikae kmya, shangazi ni baba, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Perfect matchππNa mie roho nyeupe ndio maana damu zimeendana kabisaa yaani sio unaona hata wewe na FIB hakuna nomaa kabisaa π π
Kutupia muhimu ila kapicha kamoja tu au basi tukausheππKi sport zaidi yaani badae tutupie na vi picha au tukaushe π π π
Humu tukaushe ... tuwatumie tu Big boy na FIBKutupia muhimu ila kapicha kamoja tu au basi tukausheππ
Tutawarushia akina Big boy na FIB
NdiwoooHumu tukaushe ... tuwatumie tu Big boy na FIB