[emoji23][emoji23]umeniwahi nilikuwa natka nimuulize ilo swaliMkuu utaoa kweli??
Minza, nimekumbuka mbaaali dahShemeji langu hiloooo!
Hujambo lakini?
Akina Minza wangu hawajambo?
Mnooooooooooo! Asavali umekumbuka mwenyewe!!πKumbe zile cc:mahondaw uwa unakereka π
Nafurahi kusikia hivo anko!!πMarahabaaaaaa Shangaziii .. Wajomba hawajambooo ππ
Tandam hio[emoji445]
Wanaume tumeubwa (Mustafa Nanga) mateso, mateso
Kuangaika
Mwanamume unapopatwa na matatizo, macho hua mekundu
Kwa hasira, lakini katukatu usikate tamaa
Wanaume tumeubwa (tumeubwa) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeubwa (Nasibu) mateso, mateso
Kuangaika
Ukipatwa na jambo usiende kwa waganga
Kwanza omba Mungu, akusaidie
Wanaume tumeubwa (Mwanagu, eeh) mateso, mateso
Kuangaika
Moja basi mkemiaUsiku mwema wapendwa πΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπ΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄ !
Haupendagi ugali wewe?
Ngoja niangalie mdogo wangu sina hata mpya lakini!!Moja basi mkemia
NasubiriNgoja niangalie mdogo wangu sina hata mpya lakini!!
Maisha bila ugali yafaa nini?Haupendagi ugali wewe?
Hiki kidevu mbona kinafaa kwa matumizi fulani hivi eti mahondaw au nakosea bestπMultiple rashes on fore head mji una wenyewe huu[emoji848]View attachment 2239875
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
π πHiki kidevu mbona kinafaa kwa matumizi fulani hivi eti mahondaw au nakosea bestπ
Unazitoaje?Multiple rashes on fore head mji una wenyewe huu[emoji848]View attachment 2239875
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Mimi zitaniisha tu zenyew nmesafiri sana kipindi kilichopitaUnazitoaje?
Mimi mwenyewe zinanitesa[emoji3064]
Hatari mkuu π¬π¬π π