😅😅 hii hesabu inakataaa, acha nipngee na zone manager wa kanda ya ziwe upewe invitation letter ya ka jambo flani kwa siku we unachukua lakini tano, ambayo kwenye 3.5 million ambayo itabaki baada ya afande kuchukua yake laki tano inakuwa siku 7 kesi tuimalize kesho hiyo hiyo
Imekaa dk 5 huoni hadi nime quote nkamu
Niko na RB hapa siweziweka hiyo ya live muda mrefu natafutwa kwa udi na uvumba
Huyo anayerusha vocha selfika ni nani??
Imekaa dk 5 huoni hadi nime quote nkamu
Niko na RB hapa siweziweka hiyo ya live muda mrefu natafutwa kwa udi na uvumba
Huyo anayerusha vocha selfika ni nani??