Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Amiin Niko gamboshi[emoji23][emoji23][emoji23]Asante. Uwe na J'pili njema na Wasukuma wako huko. Sijui uko Mwanza. Sijui Simiyu....
Selfika kwanza Nawewe kha!!Muda wa ku Dominika
🙏🙏🙏🙏Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami.x4
Mungu akiwa upande wetu
ni nani alie juu yetu . x2
Njaa ilipowakabili
wenye ukoma, walio tengwa
wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa
ni bora twende kambi la washami.
Ni maadui zetu siku zote
twendeni tuombe chakula,
Na tena huenda tukauawa
lakini bora twende kambi la washami . x2
Walipokaribia kambi la Washami
Washami wakasikia kishindo cha magari.
kishindo cha magari ya Waisraeli
na kumbe zilikuwa nyayo za wakoma
zilijawa uwezo. x2
Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami .
Mungu akiwa juu yetu
ni nani aliye juu yetu .
Wahitaji msaada ndugu?
je watambua kwamba yuko Mungu awezae kurahisisha magumu tusiyoyaweza.
Waweza kumuita Elishadai
waweza kumuita Adonai
waweza kumuita Elohim
Mungu alie karibu na watu .
Na hata sasa Bwana ametupigania, pigania kwa ushindi
na tutashinda zaidi ya kushinda
kwa yeye aliye tupenda, kwa yeye aliye tupenda, kwa yeye aliye tupenda. x2
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mguu [emoji38]Selfika kwanza Nawewe kha!!
hahahahaBado selfii yako na mtu chake sasa tupieni
Tunasubir hapahahahaha
hahahaha.subiri kdgSelfika kwanza Nawewe kha!!
Nimesoma Gamboshi primary darasa la 5-6. Karibu nyumbaniAmiin Niko gamboshi[emoji23][emoji23][emoji23]
na dominika kwanzaTunasubir hapa
Baba MchungajiKishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami.x4
Mungu akiwa upande wetu
ni nani alie juu yetu . x2
Njaa ilipowakabili
wenye ukoma, walio tengwa
wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa
ni bora twende kambi la washami.
Ni maadui zetu siku zote
twendeni tuombe chakula,
Na tena huenda tukauawa
lakini bora twende kambi la washami . x2
Walipokaribia kambi la Washami
Washami wakasikia kishindo cha magari.
kishindo cha magari ya Waisraeli
na kumbe zilikuwa nyayo za wakoma
zilijawa uwezo. x2
Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami .
Mungu akiwa juu yetu
ni nani aliye juu yetu .
Wahitaji msaada ndugu?
je watambua kwamba yuko Mungu awezae kurahisisha magumu tusiyoyaweza.
Waweza kumuita Elishadai
waweza kumuita Adonai
waweza kumuita Elohim
Mungu alie karibu na watu .
Na hata sasa Bwana ametupigania, pigania kwa ushindi
na tutashinda zaidi ya kushinda
kwa yeye aliye tupenda, kwa yeye aliye tupenda, kwa yeye aliye tupenda. x2
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazingua mnoo!na dominika kwanza
Asante sanaNimesoma Gamboshi primary darasa la 5-6. Karibu nyumbani
nyie mnafuta bana.mkiacha kufuta nitaselfikaKabisa Shimba Ya Buyenze mtu chake sofi anaomba hata mguu tu🤣🤣🤣
sorry.rafikiUnazingua mnoo!
Mi sina picha mpya Bosi Ledi.Kabisa Shimba Ya Buyenze mtu chake sofi anaomba hata mguu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaomba Hizo hizo msukuma!!Mi sina picha mpya Bosi Ledi.
Ni zile zile nilizowekaga hapa...
Hata sijui ziko wapi yaani...
Hapo tu mjeda! 🙌🙌sorry.rafiki