Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,433
Weusi siyo hoja kwa sababu rangi si cho chote si lo lote. Wakiwa weusi halafu wana umbo kali kama lako kuna tatizo gani? The darker the berry the sweeter the...... Blessed family indeed !!!Hahahaha.... Sita majembe mawili! Halafu huwezi kuamini! wengine ni weusi tii ile tiiiii
Simjui,nitamchekiKuna huyu anaitwa Joseph Prince, baba anafundisha sana. Imebidi vipindi vyake niwe naviwekea alarm kwenye TBN nisipitwe na mafundisho yake.
Kuna video inazunguka Mtume na nabii mmoja "akimfufua" mfu mmoja huko Morogoro vijijini yaani ni vituko tupu.
Wewe si ulikuwa umekufa wewe?
Ndiyo
Ilikuwaje mpaka ukafa?
Nilichukuliwa msukule
Imekuwaje uko hai?
Umenifufua
Umejisikiaje nilipokufufua
Umenifufua
Pigeni makofi na vigelegele
Itakuwa usinduzimambo ya zumaridi
Ila sijaiona
....
Mie hata kanisani huwa naona uvivu kwenda! Sioni kile ambacho Mungu anataka,eti unahubiri unamaliza hakuna kuwaambia watu habari za wokovu,waje kwa Yesu? Halafu unasema ulikuwa ibadani?no!
Location😔
Got u!Uko sahihi lakimi kwanza tunatakiwa kufahamu msingi wa Manabii na Mitume. Ukishajua misingi ya hao watumishi wa Mungu utakuwa huru (fahamu kweli nayo kweli itakuweka huru).
Pia kumbuka ufunuo unakuja mara moja na haujirudii. Huwezi kuni convince kabisa kuhusu kulanyaga chumvi sijui na maji ya upako, and the like! Hata Musa wakati wa safari ya wana wa Israeli alikuwa anapata mafunuo specific na akishatumia mafunuo hayo hayajirudii tena. Tunajifunza pia kwa Yesu nae alikuwa anatumia mafunuo specific kwa case maalumu. Hakuna ufunuo wowote ambao unajirudia. Ukiona ufunuo umejirudia basi kuwa na maswali.
Sasa hii ya maji, chimvi, cake, sijui vitambaa, nk. imekuwa ndio ibada sasa. Haina tofauti na waabudu sanamu.
Tuutafute kwanza ufalme wa Mungu hayo mengine (miujiza) itatokea tu. Hakuna haja ya kukimbizana na miujiza.
Nimepata uchambuzi huu mahali, sio uchambuzi wangu ila nimeuelewa vizuri 👇👇Simjui,nitamcheki
Mi sina tatizo kabisa napenda kujifunza
Mkuu juzi ulikuwa gym ukasema umepumzika kidogo na eksi wako akakusifia sana kumbe hakuna kitu
Naleta mahari kabisa 😊Amebaki huyo tu 😉
Amen mtumishiNimekuelewa kupita maelezo yaani. Nimekuelewa sana. Barikiwa Binti Abiudi. Uko vizuri
Kwingine yuko sawa, nimemuelewa!Nimepata uchambuzi huu mahali, sio uchambuzi wangu ila nimeuelewa vizuri
Kipawa cha unabii kinaonekana kuwa kipawa cha muda mfupi kilichotolewa na Kristo kwa ajili ya kuanzisha kanisa. Manabii walikuwa muhimu kwa kanisa (Waefeso 2:20). Nabii alitangaza ujumbe kutoka kwa Bwana kwa waumini wa kwanza. Wakati mwingine ujumbe wa nabii ulikuwa ufunuo (ufunuo mpya na ukweli kutoka kwa Mungu), na wakati mwingine ujumbe wa nabii ulikuwa na utabiri (ona Matendo 11:28 na 21:10). Wakristo wa mwanzo hawakuwa na Biblia kamili, na baadhi yao hawakuweza kupata vitabu vyovyote vya Agano Jipya. Manabii wa Agano Jipya "walijaza pengo" kwa kutangaza ujumbe wa Mungu kwa watu ambao hawakuweza kuhupata hata hivyo.
Wakati mtu anadai kuwa anazungumza kwa niaba ya Mungu (kiini cha unabii), ufunguo ni kulinganisha kile yeye anasema na kile ambacho Biblia inasema. Ikiwa Mungu angeweza kuzungumza kupitia mtu leo, ujumbe huo utakuwa mkamilifu na ule ambao Mungu amesema tayari katika Biblia. Mungu hajichanganyi Mwenyewe. 1 Yohana 4: 1 inatufundisha, "Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea duniani." 1 Wathesalonike 5: 20-21 inasema, "Msitweze unabii, jaribuni mambo yote, lishikeni lililo jema." Kwa hiyo, kama ni "neno kutoka kwa Bwana" au unabii unaodaiwa, majibu yetu yanapaswa kuwa sawa. Linganisha kile kinachosema na kile Neno la Mungu linasema. Ikiwa ni kinyume na Biblia, tupate nje. Ikiwa inakubaliana na Biblia, omba kwa hekima na ufahamu kuhusu jinsi ya kutumia ujumbe (2 Timotheo 3: 16-17; Yakobo 1: 5).
Mdogo wangu leo Ushatupia kweli??Location
Madam nimpe location?Mdogo wangu leo Ushatupia kweli??
Mdogo wangu leo Ushatupia kweli??Location
Mpe mpe aenjoi na lect its weekend you know!!