Selfie na maiti

Selfie na maiti

Hiyo sidhani kama ni selfie! Ukiangalia kwa makini utagundua ni kama huyu jamaa kaingilia picha iliyokuwa inapigwa kwa huyo marehemu!
Nasita kumhukumu! Sijui kama ukiwa na akili sawasawa unaweza kupiga selfie na marehemu!
 
Amna jaman muachen mkenya afanya yake,,, simu inakamera mbili ,,yambele na nyumba ,, kinachozitofautisha nikwamba

Yanyuma ,,mpigaji haonekan ,,nayambele mpigaji mara nyingi anaonekana .

Nilicjokikubar kwauyu bwana ,nikwamba hakutaka kufake event ,, naili kuonyesha kwamba alikuwepo Basi akaamua kutumia kamera ya mbele .....wala hamna tofauti na MTU alotumua kamera ya nyuma .....

Kinachotuchanganya wabongo nihili neno " Selfie"..tunalichukulia kama neno fulan soo special ...ila ukweli nikwamba kazi ya kamera ya mbele niiyo !!!


Habar za mchana.
 
Sijaona kosa lake....!!

Mbona atuhoji waandishi/ripota wa CNN...BBC....ALJAZEERA wanapo chukua picha katika maeneo, huku MIRINDIMO ya Risasi pamoja na Mizinga (Milipuko) ikionekana kuagamiza Raia, na hasa watoto wasio na hatia....!!

Tuacheni mambo ya Kinafiki....!!
Au tukio kama hilo afanye Mzungu tu ndio mtamuelewa, kwa kuwa kafanya Mweusi mwenzio, basi kasoro kibao...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom