Selfie na maiti

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,821
48,976
182899_b6040d277ed27b3784f6177765b981d7.jpg

jamani huyu mkenya na selfie na mtu kajinyonga .. kazi ipo
 
Sababu ya kujinyonga itakuwa BBC=Burnley beat Chelsea 3 goals

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mgonjwa alifariki hospital Mimi nilikuwa na mgonjwa kitanda cha tatu badala ya kutoa taarifa kwa wauguzi walitumia kama saa nzima kupiga selfie na maiti, hadi muda wa kuangalia wagonjwa umeisha hawajatoa taarifa tulishangaa sana sijui tunaelekea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom