Ni documentary au clip? Innaitwaje mkuu niipakueHahaha hawa jamaa napenda saana kuwaangalia Youtube . Aisee hatari wanayoifanya ..unaweza ukasisimuka Mpaka basi Verry Dangerous Game ...
Aiseee! Wewe ni acrophobic mwenzangu.Duh!
Kizunguzungu!
Kwanin doc?