Selelii agoma kurudi Bungeni!?

Status
Not open for further replies.
Weka heshima kwenye key board yako!

Unafikiri tunaweza kujadili hilo kwel bro? This is very low again from you guys! Grow up and come out, its a kind of fightin a losing battle. Wachangiaji wengi lakini lugha zile zile....what a coincidence ama unataka kusema ni telepathy ? I doubt....Mara nyingi wakuu mtu akipingana na Kijana wa Lowassa basi zile talking "out of school" huanza kuflow pamoja na mipasho. Nasubiria link za youtube.

 
unajua sometimes huwa kama inakua kichekesho humu jamvini.... issue ikishagusa kundi fulani la watu... utaona wanakuja na
oh unachemka
hasira za nini
shut up
usijidai unajua
wewe ni nani au wewe ni nothing


unfortunately a/wanasahau kubadili basi hata tone ya language kiasi kwamba inakua vigumu kuamini ati wako wengi... sasa hiyo ndogo, kuna ile ya pili ya users wchache ambao huchangia thread aliyoongea fulani tu, zaidi ya hapo hakuna kitu... na mara nyingi wanaingia online karibia kila wakati kwenye muda fulani... akilala mmoja basi wote wamelala, what a coincidence... kibaya zaidi huyu aki-log in, basi huyu anapisha etc...!!! THIS IS REALLY CRAZY!!!! I MEAN WHAT A COINCIDENCE!!!!

its Good that Zyansiku ameamua kukaa pembeni kwa muda maana kuna watendaji wa kutosha kwenye kambi ile teule


Wako very predictable unajua tu thread inapoelekea wachangiaji watakuwa kina fulani....hahahahahahahaahah na lugha zao zile zile.....you cant fool around JF anymore bro.....ukisoma mara mbili unawajua tu.....

Ninaachana na hii kitu! nitakuwa nachungulia na chukli zangu na wivu wa kijinga....kuna siku nitafanya assignment kupitia post zenye lugha moja ila kutoka kwa wachangiaji wengi

Pamoja!
 
Ungeharibu jamaa is school drop out! SUA wanalijua hili pale Agriculture Engineering.....! Halafu anataka kuingia mjengoni...Ooohh God tusaidie kwa hili hatuhitaji vibaraka wa Lowasa.

2355800.jpg
Masanilo una maana ya huyu au mnaongelea mwingine?
 
hana tofauti na malaria sugu pia
awa wanadamu wapo kazini kupitia jf
shame on u
 
imbeni nyimbo za tanu basi jaman..............haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
heheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... wameanzisha nyingine baada ya hii kuwa moto!!! kweli huu mwaka wa tabu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom