TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,898
- 11,292
mkuu uko sahihi kabisa... Nafanya hivyo kwa kuamini kwamba its only through provocation ndio tunapata rangi kamili ya mtu. Amini kwamba mlengwa amejua afanye nini na tatcitc zake nimezikubali. Usidhani akina malaria sugu, masaka, fmes hawana akili, hapanaKaka, nimesoma michango yako mingi hapa JF, naona kweli hata huo udaktari haukufai kabisa. Unachemka shauri ya mambo madogo utafikiri ni mvuta bangi wa manzese? Daktari kama una hasira hivyo si unaua wagonjwa huko?
Hao unaowatuhumu lete ushahidi wote hapa na wengine tufaidi. Vinginevyo fungua Ze Utamu nyingine ambako ushahidi sio muhimu bali lengo ni kuchafuana tu.
Haya mambo ya kung'ang'ania huyu alifanya hili na yule alienda Monduli bila kuweka hata kaushahidi kadogo sio tabia ya mtu msomi, ni tabia za house wives wakiwa saloon.
Ningekufahamu kwa jina hiyo hospitali yako ningeigopa kama ukoma maana inaelekea umesoma lakini hujaelemika.
Mimi bado nakupa nafasi, lete data za huyo daktari mwenzako tumchambue kama mchele. Lete pia data za huyo aliyeenda Monduli na mwenyewe kama ni kweli tumuumbue. Kama huna kweli unastahili kukaa kimya ili kulinda heshima yako.
Jifunze kutambua kwanini weninge ni provovative au wanakera... Ni malengo mkuu... Btw, umesoma michango yangu mingi, ipi' mbona mie sina mcango zaidi ya kujaza posts??
Nasikitika sijawahi kusoma michango yako.... Sijui kwanini???
Na mtakuja wengi sana mwaka huu....
BTW, siyo kila aliyepita muhimbili ni daktari, kuna manesi, wataalam wa maabara, wafamasia, environmental health specialists, mafundi mchundo wa allied health studies, walio-disco nk.. kwahiyo si lazima niwe na=practice... na cha maana ujiulize, juyo unayemtetea ana-practice??? na kama ndio je ndio main focus??? na kama siyo, utakwenda kwake kutibiwa?? wakati mezani ana katiba, ilani na sera za chama badala ya treatment guidelines, clinical books na journals??? au anafanya biashara ya mazao... sasa hapo pia ujiulize je kama ni biahsara ya mazao, alisoma agriculture??
lets think wakuu kabla ya kunyamazishana!!!