Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,185
- 79,368
msikate tamaa, mageuzi hayaji kwa siku moja milango yote haijafungwa! jaribuni upande wa pili nyie ni wapiganaji
Hivi ambao wapo kwenye kammbi ya upinzani siku zote na hawa wanaohamia upinzani baada nani hasa ni wapambanaji? Kidogoooooo atleast mpendazoe lakini hawa wanaokuja baada ya tamaa zao za madaraka kufikia kikomo mhhhhhh.
Na huyo shibuda hawezi kuwa mpambanaji hata siku moja. Anafurahia maigizo yake na mtani wake JK ndani ya CCM. Labda JK akiondoka ndio atafikiria kuhama.